Maandazi ya Kashata za Karanga

Maandazi ya Kashata za Karanga

preparation-75x75

MUDA UTAKAOTUMIKA KWA UJUMLA

saa 2.30

difficulty-75x75

UGUMU

easy
portions-75x75

KWA

Watu 6

Whisk

VIAMBATO

  • Gramu 440 za unga
  • Gramu 5 za chumvi
  • Gramu 50 za kashata za karanga
  • Gramu 7 za hamira ya Saf-Instant
  • Mililita 480 za maji ya vuguvugu
  • Gramu 80 za sukari
  • Mafuta ya kukaangia

BIDHAA INAYOANGAZIWA

1

Weka unga, chumvi, hamira na sukari kwenye bakuli kisha vichanganye vikiwa vikavu.

2

Ongeza maji kisha changanya kwa kutumia mwiko mpaka vichanganyike kabisa

3

Funika na utandao wa plastiki (cling film) alafu acha manda iumuke kwa muda wa saa 2.

4

Toa hewa kwenye manda na weka kashata ya karanga iliyovunjwa vunjwa kisha changanya

5

Kaanga kwenye mafuta yenye moto wa kutosha na ipulia kwenye karatasi ya shashi ya jikoni.

You may also like:

No Comments

Sorry, the comment form is closed at this time.