Mikate mviringo midogo ya chokoleti iliyo na mtindi

Mikate mviringo midogo ya chokoleti iliyo na mtindi

preparation-75x75

MUDA UTAKAOTUMIKA KWA UJUMLA

Saa 2h30

difficulty-75x75

UGUMU

easy
portions-75x75

KWA

Watu 4

Whisk

VIAMBATO

  • 5.5 g ya hamira ya Saf-instant Dry Yeast
  • 200 g za unga
  • 1 kijiko kidogo cha chumvi
  • 70 g za asali
  • 6 vipande mraba vya chokoleti ya kupikia
  • 40 g mtindi usio changanywa na chochote
  • 1 ute wa yai na kiini 1 cha yai
  • 30 ml maji ya vuguvugu

BIDHAA INAYOANGAZIWA

1

Changanya unga, chumvi na hamira ya Saf-instant Dry Yeast kwenye bakuli. Koroga mchanganyiko na weka tundu katikati.

2

Mimina maji ya vuguvugu, mtindi, ute wa yai na asali Changanya na kukanda manda, kisha acha iumuke kwa muda wa saa 1

3

Bonyeza na ondoa hewa kwenye manda kisha gawanya kwenye vipande sita. Sukuma kila kipande, weka kipande mraba kimoja cha chokoleti ya kupikia katikati na unda iwe mviringo.

4

Weka mikate mviringo kwenye sinia la kuokea na acha iumuke kwa muda wa saa 1 tena.

5

Paka kiini cha yai juu ya mikate na oka kwenye joto la 180oC kwa muda wa dakika 20.

6

Furahia!

Unaweza pia kupenda:

No Comments

Sorry, the comment form is closed at this time.