14 Mar Mikate ya pita midogo ya kakao
MUDA UTAKAOTUMIKA KWA UJUMLA
Saa 2
UGUMU
KWA
Watu 3
1
Changanya unga, chumvi, kakao, hamira ya Saf-instant Dry Yeast na koroga.
2
Ongeza maji, mafuta ya zeituni na asali kwenye mchanganyiko wako kisha changanya manda.
3
Acha manda yako iumuke kwa muda wa saa 1 na dakika 30.
4
Piga manda itoke hewa.
5
Gawanya kwenye uunde mipira mviringo 12 kisha funika na kitambaa cha jikoni kisafi na acha iumuke kwa muda wa dakika 10.
6
Sambaza manda uunde miviringo midogo tambarare.
7
Weka kwenye karatasi ya kuokea kwenye sinia ya kuokea.
8
Oka kwenye oveni ya 230o kwa dakika 7.
9
Igeuze baada nusu ya muda wa kupika ukitimia.
Furahia!
You may also like:
Sorry, the comment form is closed at this time.