Mkate Mtamu wa Tangawizi

Mkate Mtamu wa Tangawizi

preparation-75x75

MUDA

Saa 2:30

difficulty-75x75

UGUMU

medium
portions-75x75

KUTOSHA

Watu 6

Whisk

VIAMBATO

MANDA

  • 600g za unga
  • Kungumanga 2 zilizosagwa
  • 250g za maji baridi sana
  • 10g za chumvi
  • 5g za tangawizi kavu iliyosagwa
  • 8gr za hamira ya Saf-instant
  • Mayai 2
  • 50g za siagi laini
  • 60g za sukari

 

Kupambia

  • Yai 1

BIDHAA INAYOANGAZIWA

SAF-INSTANT-11g-RED

1

Weka unga, kungumanga, chumvi, tangawizi, hamira na sukari kwenye bakuli kisha tengeneza tundu katikati.

2

Ongeza mayai, siagi, na maji.

3

Kanda mpaka manda iache kuganda mikononi.

4

Acha itulie kwenye bakuli ndani ya friji kwa muda wa dakika 20.

5

Gawanya kwenye vipande vya takriban gramu 20.

6

Vizungushe viwe kama kamba kisha visuke.

7

Acha viumuke kwa muda wa saa 1 na dakika 30.

8

Vipambe juu kwa kupaka yai lililopigwa.

9

Oka kwenye oveni yenye joto la 200oC kwa muda wa 15 min.

Mbinu: Tumia maji ya baridi sana kuchelewesha uumukaji wa hamira.

You may also like:

No Comments

Sorry, the comment form is closed at this time.