05 Jul Pizza ya nyama ya kusaga

MUDA UTAKAOTUMIKA KWA UJUMLA
Saa 1h50

UGUMU


KWA
Watu 4
1
Mimina maji ya vuguvugu kisha koroga hamira ya Saf-instant® kwenye bakuli kubwa.
2
Weka unga, chumvi na mafuta ya zaituni Changanya mpaka manda ichanganyike vizuri.
3
Kanda kwa muda wa dakika 5.
4
Unda mpira na manda alafu igawanye kwenye vipande 3 vinavyolingana.
5
Funika na acha iumuke kwa muda wa saa 1.
6
Tayarisha vijazio katika bakuli ndogo kwa kuchanganya kitunguu saumu, kitunguu maji na nyama.
7
Chukua mipira ya manda ikandamize iwe mviringo. Sambaza rojo ya nyanya kisha weka vijazio.
8
Oka kwenye oveni iliyopashwa moto hadi mionzi ya 240°C kwa muda wa dakika 15.
Unaweza pia kupenda:
Sorry, the comment form is closed at this time.