Vijiti vya mkate biskuti wa asali

Vijiti vya mkate biskuti wa asali

preparation-75x75

MUDA UTAKAOTUMIKA KWA UJUMLA

Saa 1

difficulty-75x75

UGUMU

medium
portions-75x75

KWA

4

Whisk

VIAMBATO

  • 5.5g hamira ya Saf-instant Dry Yeast
  • 1/2 kijiko kidogo cha chumvi
  • 1 kijiko kikubwa cha unga semolina uliosagwa vizuri sana
  • 250g unga
  • 50g asali
  • 1 kijiko kikubwa cha mafuta ya zeituni
  • 115ml maji ya vuguvugu

BIDHAA INAYOANGAZIWA

SAF-INSTANT-11g-RED

1

Changanya unga, chumvi, hamira ya Saf-instant Dry Yeast na kisha koroga.

2

Ongeza asali, mafuta ya zeituni, vichanganye kisha kanda manda.

3

Sukuma kwenye umbo la mstatili wa 30cm x 10cm.

4

Weka kwenye sinia ya kuokea alafu paka mafuta juu ya manda.

5

Nyunyizia unga wa semolina uliosagwa vizuri sana juu.

6

Acha manda iumuke kwa muda wa saa 1.

7

Kata manda kwenye vipande vipande kama vijiti na vivute vifikie urefu unaotaka.

8

Panga vijiti vya manda kwenye sinia la kuokea.

9

Oka kwenye oveni ya 220o kwa dakika 20.
Furahia!

You may also like:

No Comments

Sorry, the comment form is closed at this time.