08 Aug Mikate ya Sinia ya Unga wa Mahindi


MUDA
Saa 2:15

UGUMU


KUTOSHA
8 persons
1
Weka maji ya vugu vugu ndani ya bakuli la kuchanganyia na changanyia humo hamira.
2
Weka unga wa ngano, unga wa mahindi, chumvi, sukari na siagi au majarini iliyolainishwa. Changanya manda mpaka yote itakapo kuwa inaugumu sawa
3
Kanda kwa dakika 5.
4
Unda manda iwe kwenye umbo la mviringo. Funika na acha itulie kwa muda wa dakika 20. Kunja manda kisha acha itulie kwa muda wa dakika 30
5
Baada ya manda kuumuka, kunja mara nne kisha iumbe ifanane kama soseji. Kisha gawa kwenye vipande 8 vinavyolingana
6
Viunde viwe na umbo la mviringo. Acha vitulie kwa muda wa dakika 10
7
Vibonyeze mpake viwe tambarare kama chapati zenye upana wa 12 cm, kisha viweke kwenye kitambaa cha jikoni
8
Funika na acha vitulie kwa muda wa dakika 30
9
Weka mafuta kidogo kwenye kikaangio. Ukitumia moto wa wastani, funika kwa dakika 4, huku ukivigeuza kila baada ya dakika moja
Sorry, the comment form is closed at this time.