Babka ya chokoleti

Babka ya chokoleti

preparation-75x75

MUDA UTAKAOTUMIKA KWA UJUMLA

Saa 2h30

difficulty-75x75

UGUMU

Sweet Coconut Milk Loaf
portions-75x75

KWA

Watu 4

Whisk

VIAMBATO

 • 500g za unga
 • 150g za maji
 • 7g za kokoa iliyosagwa
 • 10g za chumvi
 • 1 paketi ya hamira
 • 2 Mayai
 • 80g za mafuta ya alizeti
 • 20g za maziwa
 • 100g za sukari
 • 1 yai la kupaka juu
 • 70g za chokoleti iliyo katwa vipande vidogo vidogo

BIDHAA INAYOANGAZIWA

1

Weka unga, chumvi, sukari, hamira na kokoa iliyosagwa kwenye bakuli. Changanya vikiwa vikavu.

2

Ongeza mayai, maziwa, mafuta na maji.

3

Kanda mpaka manda iache kuganda mikononi.

4

Acha itulie kwenye bakuli kwa muda wa dakika 30.

5

Kanda tena kidogo kuondoa hewa kisha gawanya kwenye vipande vya gramu 90-100.

6

Unda viwe kama mipira kuvipa umbo. Viweke kwenye vibati vya kuokea vidogovidogo kisha ongezea chokoleti iliyo katwa vipande vidogo vidogo.

Unaweza pia kupenda:

No Comments

Sorry, the comment form is closed at this time.