28 May Kaimati za nanasi
MUDA UTAKAOTUMIKA KWA UJUMLA
Saa 2h30
UGUMU
KWA
Watu 4
1
Changanya unga, kungumanga iliyosagwa, sukari, sukari ya vanila na hamira ya Saf-instant Dry Yeast katika bakuli. Changanya na weka tundu katikati.
2
Ongeza maji kisha anza kukoroga rojo ya ngano.
3
Funika rojo ya ngano na kitambaa kisafi na acha iumuke katika sehemu yenye joto kwa muda wa saa moja.
4
Weka vipande vya nanasi kwenye rojo na changanya vizuri.
5
Kaanga rojo kwenye kikaangio kilichopakwa mafuta kwa mafungu mafungu kwa kipimo cha kama kijiko kikubwa .
6
Furahia!
Unaweza pia kupenda:
Sorry, the comment form is closed at this time.