16 Sep Mkate Mtamu wa Iliki


MUDA
Saa 2:40

UGUMU


KUTOSHA
6 persons
1
Weka maziwa ya vugu vugu ndani ya bakuli la kuchanganyia na changanyia humo hamira.
2
Ongeza unga, chumvi, iliki, mayai, na siagi au majarini. Changanya manda mpaka yote itakapo kuwa inaugumu sawa
3
Kanda kwa dakika 5
4
Funika na acha itulie kwa muda wa dakika 45
5
Gawa kwenye vipande 3 vinavyolingana
6
Funika na acha itulie kwa muda wa dakika 10
7
Suka kama butu moja.
8
Acha litulie kwa muda wa saa 1
9
Paka yai lililopigwa juu. Pamba na mbegu za iliki
10
Oka kwenye oveni iliyokwisha pashwa moto hadi 180°C kwa muda wa dakika 18
Sorry, the comment form is closed at this time.