Mkate wa Pilipili Manga

Mkate wa Pilipili Manga

preparation-75x75

MUDA

Saa 2:45

difficulty-75x75

UGUMU

medium
portions-75x75

KUTOSHA

Watu 4

Whisk

VIAMBATO

MANDA

  • 500g za unga
  • 250g za maji
  • 10g za chumvi
  • 5g za pilipili manga nyeupe (iliyomenywa)
  • 8g za hamira ya Saf-Instant
  • Yai 1
  • 50g za mafuta ya kupikia
  • 100g za maziwa ya unga
  • 50g za sukari

 

Kupambia

  • Yai 1

BIDHAA INAYOANGAZIWA

SAF-INSTANT-11g-RED

1

Weka unga, chumvi, hamira, pilipili manga nyeupe, maziwa na sukari kwenye bakuli kisha vichanganye vikiwa bado vikavu.

2

Ongeza maji na mafuta ya kupikia; kanda mpaka manda iache kuganda mikononi.

3

Acha itulie kwenye bakuli kwa muda wa dakika 30.

4

Kanda tena kidogo kuondoa hewa kisha gawanya kwenye vipande vya takriban gramu 90-100, alafu weka kwenye vyombo vya kuokea.

5

Acha viumuke kwa muda wa saa 1 na dakika 40.

6

Oka kwenye oveni yenye joto la 200oC kwa muda wa dakika 18.

You may also like:

No Comments

Sorry, the comment form is closed at this time.